UMOJA WA BABA, NENO NA KANISA
MUNGU ni Alfa na Omega ni mwanzo na mwisho, aliyepo atakayekuwepo ataendelea kuwepo Uf 1:8.MUNGU aliruhusu NENO livae mwili. Luka 2:21 mtoto Yesu alipozaliwa aliitwa Yesu ni NENO lililovaa mwili baadae NENO lilipakwa Mafuta ukaitwa Yesu Kristo NENO lina Moyo, Roho na Nafsi.
MUNGU kabla hajaumba chochote alikuwa na ufahamu wa NENO na alikuwa anafanya kazi peke yake. Tunda la roho ni heri tisa Mt 8:30 na Yoh1:1-5.
BABA=MUNGU –Roho, moyo, Nafsi
NENO - Moyo, Nafsi na Roho.
ROHO – ina Moyo, Nafsi, Roho.
Kitu ha kufurahisha leo ni kwamba “sisi leo tumepata Neema ya kuingia kwenye shamba”
Sasa Kanisa tumeingia ktk kituo cha uhalisi
*Kanisa
*Kristo
*MUNGU.
Hatahivyo Wakili wa MUNGU ameongoza wenye haki kutoa sadaka maalumu ya kurejesha nguvu ya kutoa ikiwa ni pamoja na kutoa kupitia masirika mbalimbali ya misaada ya kimataifa.
Amefafanua kuwa dunia ndio ina mashirika ya kutoa misaada kwakuwa wenye haki hawakuwa na nguvu ya kutoa ambapo sasa kuanzia leo mwovu hata jifiha kwenye Sadaka maana zote zimerejea kwa mpaji.
Yaani nguvu ya kutoa imerejea kwa MUNGU ambaye amempa Kanisa sasa.
Kurejea nguvu ya kutoa, maana kutoa ni:-
#Uhai
#Maisha
#Uzima
#Mafanikio
#Maongezeko
#Baraka
Nk. Vimehamia Madhabahuni.
Amesema vituo vote kanisa tumepita vikaibiwa leo kwa sadaka hii vitakuwa ni siraha ya kupiga waovu.
Yaani tuna hatua halisi ambayo ndio shamba. Leo wewe mwenye haki uliyeungana na MUNGU, Kristo na Kanisa unaAmri 1, hatma 1 halisi unatakiwa uwe na hakika zaidi.
Aidha Wakili wa MUNGU leo ametangaza mwisho wa mnyama asiyejulikana asiye na sura maalumu maana tuna uhalisi wa Isaya 62:1-3 kiti cha MUNGU hakikaliki akiwasambaratisha waliokaa popote walipokusanyana kinyume na kanisa.
Tunaungana na Jeshi la MUNGU kuondoa uchafu wote Amri 1 ya MUNGU ipo kazini kuondoa waovu wote.
Mwa 2:19 hata kama alimtuma Adamu alite yale majina aliita nayakawa ni yale yale akiwa amesimama hapohapo.
Kut 3:10 majira ya 3 MUNGU hakuwa na mahali pa kukanyaga kwasababu kila mahali palikuwa na pameharibiwa na kerubi.
Aliacha kukanyaga juu ya nchi kwasababu hakuona mahali pa kukanyaga akaona amtume Musa Kut 3:4-6.
Musa wakati anatumwa na MUNGU vitu vyote vilikuwa kwa kerubi na kerubi alikuwa ameshaathiri akili ya Musa.
Kwenye majira ya 5 wakamfuta Baba wakamuinua Yesu.
Hapawezekani kuwana kizazi pasipo kuwa na Mpakwa Mafuta, kwahiyo hata Musa alikuwa ni Kristo, mpakwa mafuta kizazi cha 1, Eliya Mtishibi alikuwa mpakwa mafuta kizazi cha 2 vitu vyote viligeuka kuwa mali ya kerubi.
MUNGU anakupaka mafuta kwa njia ya Sauti, kila kazi iliyofanywa na waliotumwa ni MUNGU alifanya.
Roho ndiye alikuwa wa Kwanza kumthibiti kerubi.
Yoh 20:1-9 alisema “Bwana wangu” sasa tambua anayeongoza kizazi siku zote huwa sio mtu. Hata kama utaona anafanana na wewe, anavaa kama wewe.
Yoh 19:30 akizungumzia kilichonyakuliwa 12 adar, 3 ni Roho ya Baba.
Amesema dunia ikiwa imekaa kuangalia macho juu kumsubili kristo mawinguni MUNGU aliwapiga chenga kristo akazliwa Kilimanjaro na sauti aliipata Kigoma akapakwa mafuta huko kwa agizo la kujenga kanisa.
Sauti ile ya MUNGU alipoipokea Eliya hakuwa tena mchaga bali NENO Kristo. MUNGU alianza na sasa anamalizia yeye mwenyewe ndio maana ni mwanzo a mwisho na alfa na omega.
Aidha akizungumziz kuhusu Eliya Ad2 na Wakili wa MUNGU amesema Zekalia 4:1-7 kuwa walikuwepo kabla ya misingi ya dunia kuwepo, kulia mwingine kushoto.
Aliongeza kuwa Eliya ndio sababu alipopata Sauti yaani majira ilipofika alienda kigoma kumtafuta miaka1000.
Hatahivyo Wakili wa MUNGU ameshirikisha wenye haki karamu ya umoja wa Baba, kristo na kanisa na kusema hakuna somo zaidi ya kushiriki pamoja kwenye sahani 1 bakuli 1kushiriki kwa mikono na ameagiza wenye haki wote kufanya hivyo.
Ambapo Wakili wa MUNGU alianza kuishirikisha familia yake ya viungo, familia ya mjumbe iliyowakirishwa na Mwaminifu, familia ya Mtendaji wa Wakili na makuhani wa NJia waliokuwepo na ndipo Kanisa zima tulishirikishwa karamu hiyo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni