PASAKA YA MUNGU KUGHAIRI MWANZO WA UHARIBIFU NA KUSIMAMISHA MWANZO MALIDADI MILELE
Wakili Wa MUNGU alianza kwa Shukrani kwa MUNGU na kusema Kama umeingia hapa una-huzuni, una-wazia unamdai/anaekudai, aliyekudhurumu una-mioyo sio MOYO.
MUNGU anaangalia Moyo sio Mioyo na Moyo huo uulinde
Hakikisha una-Moyo wa MUNGU, Moyo wa ni kumwabudu MUNGU katika Roho na Kweli.
Hakikisha una-Moyo wa MUNGU, Moyo wa ni kumwabudu MUNGU katika Roho na Kweli.
Isa 14:13 Moyo wa MUNGU mahali pa Mlima wa Mkutano moyo wa kerubi mahali pa mlima wa Mungu.
Unapo-waza kinyume ina-maana una-moyo wa kerubi na moyo huo unatupwa chini.
Huyu anae-zuia usiwe na Moyo wa MUNGU leo tuna-shungulika nae.
Unapoambiwa Siloamu ni Mbaya wakati umepona na ukakubali huo ni moyo wa pili. Katika mda mfup unafurahi Neno ukitoka linayeyuka yaani una-ghairi Neno huo ni moyo wa pili.
Hiyo roho inayosababisha ughairi: Neno, utakatifu, kutenda mema.
#MUNGU Leo anaghairi Mwanzo wa uharibifu.
# MUNGU anaghairi alivyolighairi kanisa.
# MUNGU anaghairi kumuumba kerubi.
# MUNGU anaghairi kumuweka alama kaini kusema alindwe.
# MUNGU anaghairi kumuweka alama kaini kusema alindwe.
#Mungu anaghairi kuhusu mwenye HAKI kupigwa. Ayubu22:21.
MUNGU anaghairi kutokea kwa *mwanamke.
*nyoka
*anguko
*mioyo miwili.
*nyoka
*anguko
*mioyo miwili.
Aidha Wakili aliongoza wenye HAKI kutoa Sadaka maalumu ya leo ni Kukaa na MOYO wa MUNGU wa kutenda mema Peke yake na mioyo mingine yote kufutwa kabisa.
Kuna namna ambayo unapata Hakika ya Neno halafu ghafla ukimwombea mwingine unasema; isipotokea je?
Hicho ndicho kinaiba Kile kilicho kuwa kimemeza uhalisi wa kila ulichopewa na MUNGU kinamezwa badala ya kukumeza.
Ile doubt inayokuja baada ya kusikia NENO kinaungulia hapa kwenye sadaka.
Kile kitendo kutoka kanisani kwenda kwa mganga leo ni mwisho. Kila kinachotoka madhabahuni lazima kitimie.
Kutoka 24:12-, kutoka 32:7-8
Kizazi cha kwanza, hata kama umekwenda juu kiasi gani ama una moyo wa MUNGU kiasi gani ilikuwa lazima ushuke chini.
Kizazi cha kwanza, hata kama umekwenda juu kiasi gani ama una moyo wa MUNGU kiasi gani ilikuwa lazima ushuke chini.
Leo ni mwisho na yote yaliokuwa ya kisababisha kushuka moyo leo MUNGU Anaondoka.
Leo moyo unapokuwa juu tu, ukijua kuwa MUNGU Anakuwazia mema tu.
Yeyote akikuletea taarifa mbaya mwambie ina muhusu kerubi
Yeremia 1:4-11 MUNGU hukuweka juu sana lakini unaona uko chini. Leo MUNGU Anakupeleka juu, usishuke tena. Usianagalie hali ulionayo tena.
Uibiwe usiibiwe, ona mema tu.
Leo MUNGU Anapokupeleka juu ,utashuka tena?

MUNGU Anapoachilia Moyo wake Mwenyewe hatarajii kuona ukiangalia mazingira tena.
-yohana 21:3-10 MUNGU Yuko hapa Anakupa vitu vizuri alafu unamwacha, je utapata kitu?
Kunawalioko hapa ambao wakiona msukosuko wanasema ng’oja nikae kwanza nyumbani hadi hali hii iishe.
*Mahali penye msukosuko kuna MUNGU, kusipokuwa na msukosuko ina maana unatenda anayotaka kerubi.*
Wewe unapewa na MUNGU vitu vikubwa alafu unakutana na msukosuko, unadondosha chini?
Kwa sababu yeyote nisikute
Nafsi yako imeinama. "upokee furaha ya milele na kicheko cha milele".
"Nikikuona umeinama nafsi sitakusalimia na hata ukinisalimia sitaitikia" alisema Wakili wa MUNGU.
*Leo ni Pasaka ya MUNGU anaghairi mwanzo wa uharibifu milele na kusimamamisha Mwanzo Malidadi.*

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni