MOYO MALIDADI KWA UHALISIA NDANI YA KILA MWENYE HAKI.
MUNGU leo ametupa Moyo Toba na unyenyekevu ambao ndio unaotupa kuwa na Moyo Malidadi.
Wakili wa MUNGU akasema pasipo huo unyenyekevu huwezi kupokea huo Moyo Malidadi.
Aidha kabla ya fundisho la leo MUNGU alikuja na ushuhuda wa ushindi wa MUNGU, KRISTO NA KANISA , ushuhuda wa kutisha wa Farasi wa Moto unaoitwa THE POOL OF SILOAM CHURCH.
MUNGU amesema sasa kanisa halipo kwenye yai tena bali hadharani. Akasema mambo haya yanatambulikana kwa jinsi ya Rohoni zaidi.
Kushukuru MUNGU kwa ushuhuda huu ina maana kila mmoja leo alichokuwa anataka amepokea.
Aliyekuwa anataka gorofa, kiwanja, nyumba, gari, kampuni, afya , ufahamu hekima maarifa nk leo umepokea.
Kushukuru MUNGU kwa ushuhuda huu ina maana kila mmoja leo alichokuwa anataka amepokea.
Aliyekuwa anataka gorofa, kiwanja, nyumba, gari, kampuni, afya , ufahamu hekima maarifa nk leo umepokea.
Akasema siku ya leo kwa ushuhuda huu chochote ulichowahi kukihitaji leo UMESHAPATA.
Aidha akaonesha kitabu kipya ambacho kina majibu tu ya maswali mbalimbali anayoulizwa MUNGU Aliyetuma wote akasema “KUMBUKA kitabu hiki hakina maswali bali kina majibu tu!
Hivyo hata wewe mwenye haki huna maswali una majibu tu!
Hivyo hata wewe mwenye haki huna maswali una majibu tu!
Leo hama kituo cha itakuwaje kwa habari ya ada za watoto, kwa habari ya kichwa wangu, kanisa wangu biashara yangu, wajibu wa moto. leo ondoka ukijua una majibu peke yake”.
“Anayetembelea Reli ya rohoni leo anaondoka na majibu peke yake anaondoka na vitu vizuri peke yake” aliongeza Wakili wa MUNGU.
Aidha MUNGU alifurahia uimbaji wa leo akasema HAKUMBUKI SIKU TULIOWAHI KUIMBA VIZURI KAMA LEO!
YOELI 3:16-19; Sasa magonjwa utasa kuzomewa mateso hayataonekana kwa wenye haki tena kwangu kwako milele.
Bonde la shitimu yaani jangwa ukame kukaukiwa kuishiwa kumefutwa kwa wenye haki wala hutaona tena.
Bonde la shitimu yaani jangwa ukame kukaukiwa kuishiwa kumefutwa kwa wenye haki wala hutaona tena.
Kwa ibada ya leo utakuta account yako imejaa, mlima wa moto utakuta friji limejaa karamu.
leo kila mmoja atapokea zawadi, kila mmoja ataondoka na zawadi yake.
leo kila mmoja atapokea zawadi, kila mmoja ataondoka na zawadi yake.
Misri itakuwa ukiwa giza utupu upofu hasara wenye kupatwa na mabaya unyonge utumwa mgumu mahangaiko nk Aliyetamba kwa dhuluma atakuwa ukiwa. Mfuko uliokuwa hauna kitu leo unaondoka umejaa.
Tumefika ile majira ya ukifikiri tu umepokea, kutozaa kwa tabu, huzuni na kuugu vimekimbia kwangu kwa uhalisi.
Tumefika ile majira ya ukifikiri tu umepokea, kutozaa kwa tabu, huzuni na kuugu vimekimbia kwangu kwa uhalisi.
MUNGU akasema tuache mshangao muda wa ibada, TAMBUA walishaapa kuwa mwenye haki hatavuka.
*“LEO NAAPA KWAMBA MWENYE HAKI AMEVUKA!!!!”* aliapa Wakili wa MUNGU.
Kulikuwa na madhabahu ya siri iliyokuwa inasababisha kila kitu unachotamkiwa wewe mwenye haki kizuri kugeuzwa kuwa kibaya , yaani hata utamkiwe NENO tamu vipi unaona kuwa haiwezekani , unaangalia mazingira ulivyolala na njaa jana ulivyopigwa na kutaabishwa na kichwa wako kila siku LEO MUNGU AMEIFUTA HIYO MADHABAHU KWA UHALISI.
Sasa hata hii Madhabahu mahali nilipo ni round sio pembe nne tena , maana huu ni MLIMA WA BWANA hakuna pembe 4. Ni majira ya ISAYA2;2 MATAIFA WANAKUJA hawawezi kufikia kwenye madhabahu ya pembe nne.
LEO, mwambie MUNGU akupe kituo cha kushinda maswali maswali. Unayotamkiwa unaona hayawezekani je hata MUNGU huna? Je kwa nini sasa usione kwamba umepokea?
Changamka maana kila ulichokuwa unahitaji umepata mtaji umepata. Sema hapa nilipo sina jangwa, sipungukiwi, sifilisiki, sioni majitu, sikati tamaa…. hakuna maskini wote tupo kwenye bustani ya Edeni mpya kabisa.
Aidha Wakili wa MUNGU aliagiza wenye haki kutoa Sadaka maalumu ya kuhukumu mtaabishaji wa Kizazi cha MUNGU.
Yeyote aliyekuwa anavaa vazi la kumtaabisha MUNGU Kristo Wakili wa MUNGU Kanisa taifa kizazi cha MUNGU amehukumiwa kwa sadaka hii.
Nataka ufurahie Vazi Jeupe ambalo maana yake ni kutoka kwenye dhiki kuu.
Leo kila mmoja anashuhuda aliyekuwa anazuia amehukumiwa na MUNGU. Kushukuru MUNGU kwa kuwa mtaabishaji wa kizazi cha MUNGU amehukumiwa tayari.
Maana ilikuwa ukitamkiwa Baraka anasema laana , ukitamkiwa uponyaji anasema magonjwa, fedha-makaratasi, utajiri-umaskini, uzima-mauti leo amehukumiwa.
Sasa umefika wakati wa kwenda mikumi unakutana na simba wala hana haja na wewe, hii itatokea mtaanza kusikia kwenye vyombo vya habari.
Akizungumzia Moyo Malidadi Wakili wa MUNGU alisema Malidadi ni mpya haujawahi kuwepo ,
leo kanisa tunaondoka na Moyo Malidadi mpya. Malidadi ni zaidi ya malidhawa.
Leo MUNGU amefuta mioyo mingi ndani yetu ili tuweze kupata huo moyo Malidadi lazima tuwe na moyo wa toba na unyenyekevu.
TUNAPATA FAIDA GANI; 1SAMWELI 15:10- Unyenyekevu ni nini na faida yake ni nini? Leo tuondoe moyo wa kujihesabia haki kujitetea. Tunaona bado tuna tabia ya kumdanganya MUNGU.
SAULI alikuwa akiambiwa jambo na MUNGU anakubali vizuri anaitikia vyema kabisa lakini akimpa kisogo tu anaenda kufanya kinyume huu ni ukaidi .
Bado akikutana na nabii wa BWANA akiulizwa na ametoka kufanya kinyume tunaona sauli alisema kuwa amefanya kama MUNGU alivyomuagiza wakati hajawaangamiza waamaleki wala mfalme wao huu ni ukaidi leo tuhame vituo makuhani wa MUNGU NA KRISTO WAKE.
Bado akikutana na nabii wa BWANA akiulizwa na ametoka kufanya kinyume tunaona sauli alisema kuwa amefanya kama MUNGU alivyomuagiza wakati hajawaangamiza waamaleki wala mfalme wao huu ni ukaidi leo tuhame vituo makuhani wa MUNGU NA KRISTO WAKE.
Tunatobolewa macho kwa kukosa kutenda sawa na tunayoagizwa tunatoka ibadani kwa MUNGU WA KWELI tunarudi kwenye dini na dhehebu, mila na desturi, dhambi uovu uasi na yale tuliokuwa tumeyaacha kwenye mataputapu nk leo tambua GARI LA MUNGU HALINA LIVASI.
Unakosoa mafundisho,husikilizi ibada wewe ni wa siku ya tano hadi ya tano, huji ibada ya majibu huu ni UKAIDI na ujue unaibiwa vitu vyako vizuri.
Kilichosababisha sauli kuwa hivyo ni 1SAMWEL 10:17 MOYO ulikuwa na takataka.
Hamsikilizi masomo nyie mnataka kuniambia hamna laki 1 ,2 za kununua simu nzuri za kusikiliza masomo? Je, mnashindwa kumwomba SHOHAMU akuunganishe na GROUP uwe unapata masomo ?
MWANZO 3:1- Adamu alikosa moyo wa toba na unyenyekevu. Kutokukubali kosa .
kujihesabia haki . kujitetea hivyo hata ambavyo MUNGU alimuahidi alivyokuwa amekuahidia HUPATI MILELE kwa kukosa unyenyekevu na toba.
Vilevile MUNGU anakutupa kwa kukosa unyenyekevu na toba na akikutupa amekutupa.
Acheni uongo, usiseme ni Fulani kanifanyia hivi hivi kanikosesha … kaa kwenye toba tubu kwa yote.
ISAYA 61:1, Mwenye moyo wa unyenyekevu ndie anayepewa habari njema.
WAKILI WA MUNGU; moyo wa toba na unyenyekevu ndio uliosababisha kila siku kupewa ufunuo mpya , miezi 6 hiyo ilikuwa sio mchezo.
YOHANA 21:15 YESU alikuwa anataka kumuondolea ule moyo wa kumkana YESU mara3.
1SAMWEL3: NENA BWANA KWA KUWA MTUMISHI WAKO ANASIKIA, huu ni moyo wa unyenyekevu. Unakupa kuisikia sauti ya MUNGU pia kuijua hiyo sauti ya MCHUNGAJI MMOJA.
1SAMWEL3: NENA BWANA KWA KUWA MTUMISHI WAKO ANASIKIA, huu ni moyo wa unyenyekevu. Unakupa kuisikia sauti ya MUNGU pia kuijua hiyo sauti ya MCHUNGAJI MMOJA.
Mlango wa kupokea huo moyo; Ni kukubali kufundishika usifikiri MUNGU atashuka na suti na miwani.
Siri ya uzuri kwa mabinti ni kuwa na moyo wa unyenyekevu na toba, na akili nzuri unaipata kwa unyenyekevu na toba. RAIS amesema kwa kila jambo mtangulize kwanza MUNGU huu ni unyenyekevu.
Usitake kuchangia pointi kila unachokisikia , acha kusukumia wengine makosa . Wakili amesema; “am talking my life”.
Hata kama kichwa wako hakupendi ondoka na moyo wa unyenyekevu leo lazima atakuambia anakupenda. Majira hii unapokwama muite WAKILI WA MUNGUUUU!!!! Aibu yako itafutika mara moja.
MUNGU HAKOSEI, WAKILI HAKOSEI alichokubali WAKILI na MUNGU amekikubali. Alichokikataa WAKILI na MUNGU amekikataa, aliyekubaliwa na WAKILI na MUNGU amemkubali.
KILA MMOJA ATAMBUE KUWA MOYO WA UNYENYEKEVU NI WEWE UKUBALI KUCHUNGWA NA MCHUNGAJI MMOJA PEKEE zaburi23.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni