BAADA YA KIAPO NI AGANO
Wakili Wa MUNGU alianza kwa shukrani kwa kusanyiko kubwa lenye Moyo Mmoja Wa MUNGU, MUNGU amepata kusanyiko kubwa sana kizazi hiki lenye Moyo mmoja Wa MUNGU.
Ambapo pia tumepakwa mafuta ya ukamilifu na utimilifu.
Aidha Wakili wa MUNGU ameongoza wenye haki kutoa Sadaka Maalumu ya kuondoa kabisa kiini cha uovu kilichokuwa kinakuletea shida kwenye familia, Agano lako, biashara, kampuni, mashamba, viwanda, nk ndani ya Moyo wako.
Yer 50:20 Maovu yamefutwa. Dhambi, uovu na uasi utatafutwa wala hautaonekana.
Ebr 8:10-12 Maovu yamefutwa, haya-kumbukwi tena
Isa 30:20-21 Sauti ya MUNGU inasikika ikisema “NJIA NI HII HAPA”
Isa 30:20-21 Sauti ya MUNGU inasikika ikisema “NJIA NI HII HAPA”
Huyu ndiye huyu siye.
Kila Maovu, dhambi na uasi kwa Sadaka hiyo aliigeuza kuwa Sadaka ya Shukrani ili MUNGU kutenda zaidi ya tuliyo-shukuru.
Kila Maovu, dhambi na uasi kwa Sadaka hiyo aliigeuza kuwa Sadaka ya Shukrani ili MUNGU kutenda zaidi ya tuliyo-shukuru.
Kuna mwingine amekuwa akijitahidi kuachana na uongo, rushwa, kufyonza n.k leo kiini hicho kinang’oka, Kiini cha kupenda udaku na mambo ya dunia kinang’oka, Kiini cha kusengenya wengine n.k kinang’oka.
Shukrani kwa MUNGU kwa kuwa mwenye Haki amefika mahali MUNGU anapoishi mahali pa Moyo mmoja Halisi.
Moyo ni chanzo cha kila kitu, sasa tuna-Moyo wa MUNGU.
“Acha Moyo wako ufurahi, furaha yako inapiga maadui. Leo ni siku ya ajabu ufurahi”
Chujio la MUNGU Kristo na Wakili wako Kanisa lipo kazini. Nakusema kiini cha moyo ni level ya juu mno.
Chujio la MUNGU Kristo na Wakili wako Kanisa lipo kazini. Nakusema kiini cha moyo ni level ya juu mno.
MUNGU anaondoa kiini cha wewe kukusudia mema yakatokea mabaya, kuanza vizuri na kumaliza vibaya anang’oa.
Kukusudia kanisa anatokea mwanamke, kukusudia kichwa anatkea mwanaume anang’oa.
MUNGU Kung’oa kiini cha:
Kuanza vizuri kuishia vibaya
Wazo la kwanza na la pili
Utasa, kuachana, mafarakano n.k
Dini na dhehebu, Mti wa ujuzi wa mema na mabaya Ajali, kifo na mauti, wachawi, wanga, wanajimu, washirikina, magonjwa yote MUNGU anang’oa.

Uzee, magonjwa
Nafsi yako kuibiwa
Kulima ukapanda mbegu njema palepale madumadu, tunutu, wakaingia shambani kula mazao leo ni mwisho.
Nafsi yako kuibiwa
Kulima ukapanda mbegu njema palepale madumadu, tunutu, wakaingia shambani kula mazao leo ni mwisho.
Kiini cha kukuta kaskazini matajiri kusini ni masikini kinafutwa.
Mwanzo wa uharibifu kiini chake kimeng’olewa kimeondolewa.
“Kiapo chochote kina-Agano. Katika kila kiapo ulichoapa kina-agano ndani yake, Kuna viapo ulivyoapa kwa kujua/kutokujua na ndotoni sasa ndani ya kiapo hicho kuna-Agano.
Ili tuweze kukaa na huyu ni lazima tuingie Agano na MUNGU.
Katika Mwa 22:15 MUNGU alimwapia Ibrahimu akatengeneza Agano, Agano ni lazima liwe na Sadaka.
“Wakili Wa MUNGU ameapa na sisi tuna-Agano la kuto-aibika lakini ni kwa Yule atendae kwa haki tu, kwa mwovu haitokei. Wewe umemfuata MUNGU Wa kweli huta-aibika Milele”
Amesema kuna viapo unaweza kuapa bila wewe mwenyewe kujua, pia katika kila kiapo unachofuta unatakiwa ufute na Agano uliloweka.
Aidha amesisitiza kila mmoja kufuta maagano yote ili yasije kuwa mtego kwako mwenye haki.
Leo futa viapo hivyo ili uwe huru na MUNGU awe kuachilia ule utajiri halisi pale ulipo, unapomuapia MUNGU naye anakuapia na wewe.
Leo Kanisa tunamuapia MUNGU kwamba hatutamuacha milele.
Warumi 9:4 MUNGU aliwaapia kwa viapo hivyo na maagano ya MUNGU kuwa nasi.
“Kiapo kimesimama na Agano limesimama usiwe na wasiwasi”
Warumi 9:4 MUNGU aliwaapia kwa viapo hivyo na maagano ya MUNGU kuwa nasi.
“Kiapo kimesimama na Agano limesimama usiwe na wasiwasi”
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni