UFAHAMU UNAOKUPA KUFUTA KESI ZOTE ZA MWENYE HAKI
Aidha kabla ya MZEE WA SIKU kufika Kiongozi wa Makuhani alisema; Mahali kanisa tulipofika sio pa kupigwa kuteswa kuhukumiwa kudhulumiwa kushitakiwa.
Ili mradi wewe mwenye haki usimame katika kweli tu! Hayo mengine yote hayawezi kukupata.
Isaya 65:16-17 Ni majira ya wenye haki kubarikiwa kuwa juu kuwa mbele kwa kuwa kweli imesimama na MUNGU anajulikana kila kona.
Hivyo yeyote atakae kujibariki na ajibariki kwa MUNGU wa kweli peke yake, MUNGU Aliyetuma wote vizazi vyote.
Ni majira ya mwenye haki kutokufa kwa sababu amesema kweli.
Ile majira ya mwenye haki kufa kwa sababu umesema kweli imefutwa na MUNGU mwenyewe.
Kesi zilizokuwa zinatengenezwa ili mwenye haki afe zote zimefutwa leo.
Ni majira ya mwenye haki kulindwa kutetewa kupendwa kuwa wa thamani.
NENO linasema Yule anayetetea wanyonge huyo humkopesha MUNGU.
Wale wanaomchukia Rais ni kwa sababu anatetea wanyonge.
Yer 29:7 Tuombee amani kwenye Taifa na viongozi wote. 1TIMOTHEO 2:2-4.
Wakili wa MUNGU alimshukuru MUNGU kwa siku ya pili ya kuona siku ya akili ya MUNGU.
Siku ya kuona kama MUNGU aonavyo yeye, Kristo na Wakili wa MUNGU aonavyo.
Siku ya kumshukuru MUNGU kwa kufuta kesi zote kesi za kuugua, kutoelewana na kichwa wako au kanisa wako, kukosa mtoto, kukosa ufahamu.
Kutoimba vizuri, sauti mbaya flati, kutomchezea MUNGU, hata ukifundishwa nyimbo huelewi hata ukielewa anasahau.
MUNGU ametupa siku 7 za kufuta kesi zote mbaya ambazo ni utaabishaji kwangu kupitia ufahamu ambao MUNGU anatupa kila siku.
Tunashukuru MUNGU kwa sababu mimi ninaishi 1YOHANA 5:8 mimi ni roho .
Mimi ninaishi hapa;
⚪Baba
⚪NENO
⚪Roho
⚪Baba
⚪NENO
⚪Roho
MATHAYO 12:32 Atakaegusa roho hawezi kusamehewa. Ndio maana Eliya Ad2 alisema ukimgusa MIAKA1000 hutapona!
Maana yake MIAKA1000 ni roho, hivyo na mimi ninayefuatana nae ni roho.
Hivyo sitashitakiwa sitaugua sitafungwa, kwa sababu mimi ni roho.
YOHANA 18:1- Yesu aliwauliza mnatafuta nani? Wakajibu tunamtafuta yesu akawaambia ni mimi hapa wote wakaanguka chini…..
Tambua kuwa shetani alishaanguka muda mrefu alishashindwa sema ana tabia ya kutokata tamaa japo anajua kuwa ameshindwa hawezi na hatakaa ashinde anajua vizuri.
Shida yetu sisi tunapenda mno kujipeleka muda wote wewe unajipeleka hata hujitambui kuwa wewe ni mwenye haki Hivyo hutakiwi kujipeleka.
Ukisikia baridi kidogo tu unasema ngoja nikapime Bs nafikiri nina maralia, honi zinalia kila eneo kutafuta anayejipeleka kwenye kipindu pindu wewe unasema naona huku kuharisha itakuwa kipindupindu tayari wameshakukamata.
Mimi ninajua Yesu peke yake ndiye aliyesema kuwa alikuja alizaliwa kwa ajili ya wengine, kufa kwa ajili ya wengine.
Je na wewe ulizaliwa ili uwe fidia ya wengine?
Je wewe ni wa kufa ni wa kuteswa kupigwa kufilisika kudhulumiwa kwa ajili ya wengine kama Yesu? Hapana.
Sasa kwa nini ninyi mnajipeleka ninyi wenyewe? Utasikia mnakiri mimi masikini tambua unavyokiri ndivyo inavyotokea.
Mimi sijawahi kusikia MUNGU Baba anashitakiwa,anapelekwa mahakamani, hata siku moja.
Kama wewe ni mchawi muovu muasi nk nenda mwenyewe ukafungwe basi.
Wakili lakini mimi sio mchawi sio muovu hivyo siwezi kufungwa siwezi kupelekwa mahakamani milele.
Kama wewe ni mwenye haki hutakiwi kushitakiwa kuhukumiwa kugungwa kupelekwa mahakamani.
Kuna ambao ni wenye haki kwa sababu ya kubebwa na wenye haki leo wanaondolewa wote kila mmoja atasimama kwa nafsi yake yeye mwenyewe.
Waliokuwa wanakaa ndani ya ufunuo unaotoka kila siku wakaonekana ni wenye haki kwa sababu ya ufunuo wa kila siku leo MUNGU amewaondoa kila mmoja asimame kwa utayari wake yeye mwenyewe.
ISAYA 53:1 unapokaa kama aliyeonewwa unajipeleka kwenye kituo cha kuonewa, na vile vile unampeleka MUNGU msalabani.
Kilichosababisha Kaini akaendelea kuishi huku akiwa na ulinzi wa MUNGU kwamba atakaemgusa kufa na afe ni ile damu ya ndugu yake habili aliyekuwa ni mwenye haki.
Sisi wenye haki tusisababishe MUNGU akapigwa kwa sababu ya tunayoyafanya kinyume na anavyotufundisha.
Tunamshukuru MUNGU kwa sababu Eliya Ad2 kabla ya kunyakuliwa aliifuta dunia na mambo yake yote.
Hivyo hatuishi duniani bali tunaishi mbingu mpya na nchi mpya. Kanisa halitaukumiwa milele.
Yoh 17:4-5 YESU alisema anarudi kuwa Neno hivyo tusimrudishe msalabani tena kwenye kuteswa kudhihakiwa.
Kama nimembeba muovu yeyote leo nimuache asimame yeye mwenyewe mbele ya kiti cha Enzi cha hukumu.
Sadaka Maalumu ya leo ni ya kuachana na wale tuliokuwa tumewabeba wakaonekana ni wenye haki ili kila mmoja asimame yeye mwenyewe.
Sadaka ya kurudisha ISAYA 53:1-5 kizazi cha 3, maana siwezi mimi mwenye haki wa kizazi cha MUNGU kufa msalabani kwa ajili ya dunia milele.
Wameunguza ule ufunuo wakijua wanamuunguza Miaka1000.
Halafu haohao kwa siri sana wanasema huyu ni baba yetu sasa hivi wakati wa kila mmoja kusimama kwa nafsi yake mwenyewe.
Sadaka hii inawaondoa waning’iniaji wote ndani yangu, ndani ya agano langu, biashara zangu.
Kizazi cha MUNGU Aliyetuma wote vizazi vyote > ni baba mwenyewe full full mathayo 21:41 na 1kor 15:28 > miaka 987.
Kizazi cha MUNGU Aliyetuma wote vizazi vyote > ni baba mwenyewe full full mathayo 21:41 na 1kor 15:28 > miaka 987.
Kizazi cha 4> roho ya baba Mt 21:40, Yoh 9:7 >miaka 13.
Kizazi cha 3> nafsi ya pili Neno> Mdo 10:38 >miaka2000.
Kizazi cha 2> nafsi ya 3 roho> 1falme 17:1 >miaka2000.
Kizazi cha 1> nafsi ya 3 roho> kutoka 3:3- >miaka2000.
Kutoka 31:1-6 Kristo maana yake ni mpakwa mafuta hivyo hata Musa alikuwa ni kristo Eliya mtishibi naye alikuwa ni kristo.
Hivyo roho iliyokuwepo kizazi cha 1-2 ni ya aina moja. Alijazwa roho ya MUNGU na roho ya MUNGU ni roho war oho yaani kanisa.
Tangazo; mimi mwenye haki kufa kwa ajili ya wengine sahau.
Mwenye haki ukijitambua huwezi kufa kwa ajili ya dunia.
Wakili wa MUNGU hatakufa kwa ajili ya dunia. Hii imefutwa na haiwezekani milele.
Sadaka hii inawaondoa wote waliokuwa wananing’inia kwenye vitu vya kanisa vya wenye haki kizazi cha MUNGU vya taifa vya Kristo.
MUNGU hammutaki ila vitu vyake mnavitaka, MUNGU hatakiwi kwao ila kapu lake wanalitaka, halafu wanasema Wakili ndiye anaharibu fedha na mali Wameshindwa milele.
Sadaka hii itutoe kwenye kituo cha kuishi kz cha 3 badala ya kuishi kizazi cha MUNGU.
Inawaondoa wale wote wanaoishi ndani ya WAKILI wa MUNGU kupitia yale masomo ambayo anatufundisha.
Inawaondoa wale wote ambao wanaishi nani ya fedha za wenye haki wanazotoa sadaka, wanaoishi ndani ya sadaka.
Inalitenga taifa na kuangamizwa na mataifa mengine na inatumwa ndani ya uumbaji wote ujue kuwa kesi zimefutwa.
Sadaka hii tunaituma iende ikawatoe ikawakomboe kawarejeshee ufahamu wale wote ambao wenye haki waliotekwa atambue kuwa wewe MUNGU umekuja wewe mwenyewe.
Wakili wa MUNGU alisema kuna mambo matano ya kujifunza leo ;-
(1.) Marejesho ya Neno au marejesho ya kitabu. MDO 19:35-36 + MDO 19:27-29.
(1.) Marejesho ya Neno au marejesho ya kitabu. MDO 19:35-36 + MDO 19:27-29.
(2.)Majira na nyakati za MUNGU Aliyetuma wote vizazi vyote mhubiri 9:11-12.
(3.) Hatma njema Mdo 13:1-10
(4.) Je imani yako ni ipi? Na ukiri wako ni upi? War 10:9-10.
(5.) Lugha yako ni ipi? DANIELI 1:3-8.
(3.) Hatma njema Mdo 13:1-10
(4.) Je imani yako ni ipi? Na ukiri wako ni upi? War 10:9-10.
(5.) Lugha yako ni ipi? DANIELI 1:3-8.
MAREJESHO YA NENO AU KITABU CHA NENO
MDO19:35-36 MDO 19:27-29 Kumshukuru MUNGU kwa ajili ya Nabii wa mwisho aliyerejesha kitabu cha Neno.
MDO19:35-36 MDO 19:27-29 Kumshukuru MUNGU kwa ajili ya Nabii wa mwisho aliyerejesha kitabu cha Neno.
Dini na dhehebu tulikuwa tunasema MUNGU ulisema kila alitajae jina lako ataokoka yeye na familia yake lakini ilikuwa haitokei kwa sababu kilikuwa kinahifadhiwa na waefeso.
UFUNUO 5:1-5 Kitabu kilikuwa kimefungwa ….. ila sasa ukituma Neno lazima litimie.
MUNGU ni halisi hivyo ukilituma NENO lazima likuzalie matunda lilete faida , kwa kuwa mimi mwenye haki ni taji ya uzuri mkononi mwa MUNGU ISAYA 62:
Hivyo wengi tupo hapa lakini hatujui kuwa Eliya hakuwa Mtu bali alikuwa ni MUNGU mwenyewe.
Mimi nawaruhusu muende pale tulipohifadhi viungo vyake mkaangalie hamtamkuta wala hutakuta chochote.
Sasa nasema hivi yeyote anayeona anasema kweli zaidi yangu asimame hapa nimuone tumuone.
Hivyo kila Neno unalolituma lipo hai na unapolituma lazima likuletee uponyaji.
Leo ni mwisho wa gemu 7
Majira na Nyakati za MUNGU mwenyewe.
Majira na Nyakati za MUNGU mwenyewe.
MHUBIRI 9:11-12 tulishatoka kwenye utumwa wa majira ya dunia na ulimwengu KUTOKA 12:40-
Kama vile MUNGU asivyofungwa asivyopelekwa mahakamani ndivyo itakavyokuwa kwangu.
HATMA NJEMA MDO 13:1-10
HATMA NJEMA MDO 13:1-10
Wakili amesema yeye haishi kwenye umbo la jina wala umbo la chochote bali yeye anaishi juu ya umbo la chochote ulichowahi kukisikia kina umbo.
Sasa ni majira ya kuweka vizuri majina yenu, mwenye hatma halisi hata akiitwa au kushitakiwa kwa jina la zamani popote kwa hila MUNGU anawageuzia mashitaka waovu wenyewe.
Paulo kabla hajabadilisha jina alijaribiwa na bar yesu…… hivyo tunaona kuna waliokuwa wanaitwa ubini wa Eliya lakini ni wachawi ni wenye hila na mashetani, lakini baada ya kubadili jina hatuoni mahali alipotingishwa tena.
Hivyo tambua kitabu kizima cha Neno ukisoma hakuna aliyewahi kufanikiwa bila kubalilisha jna hatma.
Sasa uwe makini hasa ninyi ambao mna majina tofauti, mfano madhabahuni unaitwa Mafanikio halafu mjini unajulikana kwa jina la sikudhani.
*BE CAREFULL UNA AMINI NINI? NA UKIRI WAKO NI UPI?*
WARUMI 10:9-10 kuamini kunakupa haki lakini haki hiyo inakaa ndani ya moyo roho na nafsi yako.
Hivyo unatakiwa ukiri ili upate haki kwa uhalisi haki inayoonekana wazi.
Unaamini kabisa kuwa huwezi kufa lakini unaona ukikiri hivyo wakikusikia unasema si wataniona mwehu nikisema hivyo leo tuache USHAMBA.
WAKILI anaamini na anakiri kuwa ni lazima anifikishe mbinguni kwa Baba. Je wewe unaamini nini??
Haamini kama kuna kuishia njiani halafu hajui kabisa
Aidha WAKILI ameagiaza tuwapelekee salamu, tuwaambie jamani WAKILI amesema yeye hajui na haamini kama kuna kuishia njiani!! Hivyo mnajisumbua tu!!
*Unachoamini + ukiri wako = unapokea udhihirisho.*
LUGHA YA MUNGU
DANIELI 1:3-8 MUNGU anipe Neema ya kumjua aliyesimama mbele yangu ni nani?
DANIELI 1:3-8 MUNGU anipe Neema ya kumjua aliyesimama mbele yangu ni nani?
Anipe neema ya kuijua lugha yake.
Lugha ni kila kitu natakiwa nimuelewe MUNGU sawa na lugha yake anayotumia.
DANIEL 1:3- Elimu ya wakaldayo na lugha yao…. Ndio sababu wachina wadachi hawapendi kujifunza au kuongea lugha za wengine.
Mahali MUNGU alipo ndipo ndipo alipopachagua kuwa ni taifa lake na ni urithi wake na lugha yake.
Sasa wengi wanaona lugha ya siloamu ni ngumu lakini ndio lugha ya MUNGU hatutakiwi kukiri mabaya na udhaifu.
Mimi sio nabii ndio sababu sikai kuwasikiliza shida zenu japo najua kila kitu mnachopitia 1FALME 20:42 haruhusiwi kusikiliza taarifa za wengine.
Hivyo tunatakiwa kumuombea njia kumuinua Mtendaji wa wakili wa MUNGU ambaye ndie anayetakiwa kufanya hayo yote.
Siwezi wala huwa sihukumu maneno ya kuambiwa.
Mimi mwenye haki nilitakiwa nikimuona WAKILI WA MUNGU tu nipokee kila ninachohitaji.
MCHUNGAJI mmoja akufungue macho umjue WAKILI WA MUNGU na ujue lugha ya MUNGU, toka kwenye vituo vya walioshindwa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni